
Hao wasee huwa kwa comments wakiulizia if your business is legit kila wakati, unajibu but still in the next post bado wanauliza the same question, wao hutaka which kind of answers? Unapost kiatu, msee anauliza how legit is this? Unapost nguo, bado anauliza how legit is this? Unapost unatafuta kazi, bado anauliza how legit are you? Nimegundua wao hukuwa almost on every post. Naelewa kuna conmen but personally I cannot share a business that doesn't exist. A business is built on honest and integrity.
0
0
0