
Hapa kuna msee anasema alibuy 50Kg bag of cement but akipima anapata akona 41.95Kg!!
Ushawai kua na such an experience where una-buy kitu ya kupimwa alafu ukifika home unapata umechezwa???
Shida ni weighing scale ama, nichanue!!
Tuchapiane kwa comments👇🏾👇🏾

0
0
0