
Hapa kuna story!
A Kenyan ali-open up about Safaricom products! Anadai that what makes one the brokest ni products za Saf.
Anadai ukifanya online payments na Visa Card yako, it's free cause 2.5% is charged to the merchant hence hakuna expense to that transaction. Example ingine ni Lipa na Mpesa, Buy Goods & Services za Petrol Stations, ukicheki message yako ukishalipa mafuta kwa petty utaona kuna transaction fee! Anadai Rubis hu-charge msee 10-12 bob!! Kama hujui, petrol stations zote hu-charge, Buy Goods yao si free
Buy Goods kuna types tatu:
- Enye ina-charge customers transaction fee
- Type ina-charge customers a partial amount. In this case, mna-split cost between the merchant & the customer
- Enye iko free Ana-recomend ukidai ku-chukua Buy Goods; make sure umechukua ya ku-split cost & not the free one. Ukichukua the free one, biz yako ita-bare the the transaction cost!!
Tafakari ya babu ni: Ukona Fuliza, Unatumia Buy Goods inaku-charge transaction fee na Send/Withdrawing Money pia hukata transaction Fee crazzy. Meaning una-spend a lot. Ana-suggest solution ni kurudi back to cash, use your visa card ama utumie Airtel Money🤔🤔Cause kwa hizi options tatu hakuna transaction cost!
Share maoni kwa comments!! Link to Video: https://x.com/KenyanSays/st...
