
Hapa kuna Story! Unatumia AI tools ama umeachwa nyuma??
Data from DataReportal global survey as at July 2025 inaonyesha 42.1% of Kenyan internet users aged 16 and above wametumia ChatGPT in the past month; Hii ina-make Kenya #1 worldwide in ChatGPT adoption

0
0
0