
Hapa kwa hii Community yetu ya MESH ni place ya kushikana mikono tuinuane. Cheki vile the MESH ili-come through for one of our members - #GideonKipruto
"Hello members, hope kila msee ako sawa na anajikaza kwa #Hustle kama mimi. I want to thank the MESH kwa ile #Advice na #Ideas kali members wana-share tunaokoleana sana.
I really want to thank MESH Community walinijenga na #3K Dec nikapanda viazi. Saa hii viazi zinakua i wish there is a way naeza gawia members. Am sure members wenzangu wenye wali-qualify tulifanya kitu ya maana. Wenye hawaku-get this was just the beginning kuna opportunities mob as long as msee ana-participate by #GivingAdvice ama #AskingQuestions tutasaidiana na ku-make maisha yetu better"
#TukoNdaniMESH, #TukoSorted!
0
0
0