
Hapa kwa "HOT REELS".
Deno anafanya glass work, na Roy alifika kwa biz yake akatuchanua venye Deno anamake dooh from Art na Creativity yake ya Glass work, anaeplain venye yeye huget materials na kumake kua resourceful.
Amasema Tusijilimi. Na form ni kujituma vile inafaa. Ebu fikeni apo kwa hot reels mpate more information about the creative biz.

0
0
0