
Hapa Mimi ningefanya biz ya smookie na mayai pasau , juu ni common bussiness but Mimi ninge make yangu istand out by making unique kachumbari yenye haipatikani streets alafu pia usafii inakua top notch , not forgetting customer services always telling me customer thanks for promoting me
0
0
0