
Hapa mtaani, Nimecheki opportunity ya kusort ma neighbours na Internet Next month. So nimeona nikilipisha 1k per month na niwapee 5mbps itakua fiti na pia naweza weka access point hapo nje kwa wale wa wifi.
What do you think guys? What are the tools and gadgets I need ndo hiii side hustle ijipe ? Ebu tuchanuane.
0
0
0