Hapo 2017 nilianza biz ya kuuza Simu za M-kopa, nilikuwa natembea na simu moja mbili kwa Kimfuko kidogo.. Faida kiasi kiasi. Then now 2026 July niko na Shop sasa. Through partnership imenifikisha Hapa. #HowItStartedVsNow