
Happy boxing day meshers!!π€π€hope hii festive season inakupeleka fitii,,Hii festive week ni plaform fiti sana ya ku show case our creativity na pia knowledge and skills zetu kwa hii creative industry,,,Most of the artist wanabenefit sana through composing Christmas carols and also through Christmas skits na wanaearn from that,,ebu tuchapiane venye hii krissy imekujenga??ππͺ,,Na pia advice unaeza peana kwa hawa artist hii festive week kuhusu venye msee anaweza jijenga before mwaka iisheeππ #Form ni kujengana
0
0
0