
Happy boyfriends day ; Kwa wanaume wrote wanastruggle kumake ends meet💗 Kwa ma Boyz wote wenye wamemanage kuturn down peer pressure 💪 Kwa machali wote wenye wanataka care family wametoka na kwenye wanajenga 🙏 To all the men wenye wanabattle depression ❤️ Kwa ma bazuu wote wanasuffer in silence 🌹 Na Kwa wanaume wote wenye wataona hii post❤️
Make sure Leo umeaend love Kwa machali wote unajua, these people wamezoea kusuffer in silence ❤️🩹
Vulnerability is not a disability 😊, a problem shared is a problem half solved🫂.

0
0
0