Happy Jamhuri Day fam mob love.... alafu joh mtaani kumekuwa na challenges mob mavijana sana sana maarif joh wameangushwa enyewe dj b ka ungeeza tembea dandora phase 4 atleast once adi ubonge na mayut joh kwanza wa area yangu utakuwa joh umewaokolea kiplani adi ka nikuwashow wajoin mesh itakuwa fine.Mi enyewe sidai kucheki tena arif anaangushwa juu ya kustep, alafu kitu joh inafanya mavijana wakuwe ivo joh ukiwauliza watakujibu tu nikukosa wera. Mi najua utapata ii ripoti yangu pahali uko na najua tu utacheza ka wewe ama any official wa shujaaz mnaeza okolea tafadhali. Shukran
0
0
0