
Happy Mashujaa Day my people 🥳
Let me remind you to always take advantage of every situation to make cash. Leo vile ni holiday you can sell sana since watu hutembea wengi. Remember kuweka good display ya goods zako, be kind kwa wateja and if possible peana discounts kwa wale wamenunua mob ndio warudi tena.
Siku iwabambe wadau 🥳
0
0
0