Happy New Week 😀
This week kuna items zinaeza uzika sana because of back to school, nitataja some, zingine mniambie kwa comments section tuchanuane.
Vests, boxers, panties, bras, towels, school bags... Nini nimesahau?
0