Happy New Week watu wangu. Naona gava inadai kupunguza allocation ya Hustler Fund in the new Finance Bill 2025. As MESHers mnaonaje hii mambo, is it a good move or not, tuchapiane kwa comments section below 👇