
Happy New year Meshers,,,Episode 23 ya shujaaz Stra ishatoklezea,, After kuraukia job, Achie na Mwas wanapata wameandamwa na msee wa kanjo akidai licenses. Juu ya kukosa requirements zote, Mwas na Achie wanajipata kwa ngori na kanjo.
Kwingine Jitibu, Mama Makena ako on her best behavior lakini Makena anashuku kuna kitu anachora. Chini ya maji, Viv anaingilia Stacy kwa kuwacha mamake avae viatu zimeraruka na sasa amekua msichana mkubwa.Link ndo hii apo 👇 https://youtu.be/tnfO6T0_Gl...
#ShujaazSTRA
0
0
0