
🏡 Happy September meshers🤗. Kwa wale tumetamani sana ku own nyumba bila kutegemea inheritance gava imetukumbuka😅. Kumbe sahi mtu anaweza pata cheaper mortgage na gava? Deposit ya affordable housing ni 10% ya unit value, na estimated unit value per unit inarange 1m-3m kwa watu wa chini kwa duration ya 25 yrs. Njia recommended most ya kulipa ni rent to own of which unalipa monthly a certain amount kulingana na unit umechagua. Eg sh4000 per month after deposit. Bado allocations hazijaanza but unaweza anza kusave deposit kwa unit unadai hapo kwa website ya boma yangu.
Tuenjoy American Life without living in America sasa! Bora ujipange na side hustles mbili minimum😁 Disclaimer:!! Boma Yangu Haijanisponsor kuwa advertise!!
0
0
0