
HARAMBEE STARLETS WAMEPIGA CAMEROON HAPA NAIROBI ON PENALTIES NA SASA WANAPATANA NA BOTSWANA DATE 29 HII NOVEMBER. WAKI WIN TUNAENDA DIRECT AFCON HUKO MOROCOO. WHAT DO YOU THINK ARE OUR CHANCES HAPA... KUNA HOPES KWELI ZA KUFIKA FINALS.... #TUCHANUANE #TUBONGE


0
0
0