
Harambee Stars line up ilitoka juzi ya provisional squad.
Kocha wetu mpya Amejaribu ku blend both old and new faces kwa hii team kama kina Kelly Madanda wa Afc leopards na Pia Kinyanjui wa Mathare, Edward Omondi wa Sofapaka ako ndani...
Maoni yenu kuhusu blending ni gani mkumbuke tukona a future to build na pia games za must win pia.

0
0
0