
Harry Kane anakimbizana na time sasa. Flight to Munich, medicals, deal signing...
Lakini hii deal ikienda through, Tottenham wamepiga biz hatari sana na Bayern Munich, €100m fixed fee plus add-ons up to €20m.
Kane angebaki tu EPL ama Bundesliga ako na higher chances za kushinda ligi and UCL?

0
0
0