
Hata kama uko na job ya kuchorwa, biz inaeza kua side hursle yako na inaeza kuokolea tu sana. Hakuna kitu poa kama ukifikisha age 40 and above na uko na kashamba, keja poa ama hata ki financial uko stable. Kuna vile so many of our close friends, family or jirani who have reached the age of 40 kwenda juu wako depressed because wako so much worried with;
- place ya kustay
- works
- finance
- kusomesha watoi
- food So kama uko age ya down like under 40 ni lazma ufikirie tu sana ju kufumba na kufumbua utajipata pabaya na pia energy itakua ishaanza kukutoka. Good example is look around the hood you live in, how many people who have reached hio age ya 40 and above wana struggle na life? Both men and women? Raising kids uwasomeshe wafike chuo kikuu sio kazi rahisi boss yangu, time ni sasa ya kuchanuka na ufungue bizz joh! jitume!
Si ikiivana thank me later!!!!!!!!!!!
0
0
0