Hauko pekee yako acha tuzidi kukazana,, nlizaliwa kwa poor family yenye tulidepend na vibarua,but shida ikazidi wakati dad alipass in 1999,tulibaki na mum na watoto wengine watano life haikuwa easy coz familia ya dad ilikam ikatake wat belongs to us,ikabidi mum apitie alot ili tupate food na tusome, nilianza vibarua nikiwa 12yrs old though kulikuwa na challenges mingi na kuongelewa vibaya,, ilitubidi vibarua ikiisha tubeg kusaidia watu ili angalau tupate lunch,wengi wetu hawakusoma ilibidi ma siz waende kwa early marriages ambapo waliend up desperate,, tulihustle mtaani sana but painful part mum akapata cancer yenye ilifanya tupitie mchunjo wa wasee wengi na tuuze hadi place tungeita home finally alipass,,nshaa wai fanya kazi kwa msee whole day nipate sapa na anilipe twenty bob nipate sapa ya mandazi nne ya wife na mtoi hio ni after death ya mum 2019 historia yangu ni mrefu but nataka kuonyesha mayouths apo nje tusigive up,,siku moja tutafaulu kujimada sio solution drugs sio solution ata baada ya kupitia all that sijawai use any drugs though ishaa wai fika place nikataka kujiua nkashare story yangu na mtu akanitia nguvu,usinyamaze pia speak up #u r not alone in that