
Have always wanted to be a farmer but sijawahi jua the best farming to venture into, until I spotted a gap in my locality. Nilikuwa nabonga na wasee kadhaa pale mtaani about what someone amemaliza form four anaeza fanya na small amount of money from hustles ndo ajiinue. I started savings kiac kwa M-shwari coz nilikuwa in need of a small soft loan without kusumbuana na majamaa,so nkasave ikafika 3k na loan ya 2k nkabuy: mabati moja(650) Nails(120) unga(350) 3months piglet (2500) Labor (500) Dawa(500) Nkaaza kuchunga kale kanguluwe,so it was easy coz nilikuwa napata chakula from local hotels,butcheries n other nearby eateries plus nachanganya na commercial feeds. After six months nguruwe ilikuwa ready kuchinja. nilichinja ikatoka 40kgs na kilo moja nkauza na 350 total(14000) Ukitoka expenditures na starting capital inakuwa profit ya 8380!!!! That's how I started,Sasa nko na nguruwe saba n am still pressing on kwa kusave.... GUYS ITS POSSIBLE...CALL 0708996998 FOR MORE DETAILS...THANKS