
Have you noticed that Cash Flow Ni Everything kwa business yako??💸💸
QUICK QUESTION?..Profit ni mzuri, lakini unajua difference ya revenue na profit? mostly zote co habit and related but kuna difference pia even though zinarely on each other ..
Usitumie pesa yote kwa stock mpya mpaka usahau bills na emergency funds.

0
0
0