
Have you noticed that saa hii Wakenya wamefikia ile option ya the cheapest, hawaangalii tena quality ama brands wanaenda na the cheapest because life imekuwa hard sana things are so expensive,
as a seller ama unaprovide services how are you coping with this? mteja akija akisema just give me the cheapest tu.
0
0
0