
have you thought about the wasee kuna another biggest challenge yenye inaeza kuletea ngori kwa biashara kama bad planning. bad planning affects your
1.finances eg unapata low returns ama sales.
2.more risks kwa business most especially in the finance side pesa inaleta shida
3.decision making inakua poor thus ku run business inakua ngumu.
4.inafanya pia biashara yako isikose kugrow.
tuchapiane zingine kwa comment and how one can avoid it. to
0
0
0