
Having a low end laptop ama not even having one inaeza kukupea hasira vibaya sana buana especially when you want to work on something urgent and heavy. Inakuanga huezi ata work on kitu kaa Adobe Premiere, laptop inachemka my guys buana. Kama ukona dreams za graphic design, videography, photoshoot etc zote zinaanza kudidimia ju sasa utafanya nini? Uzuri sasa Mesh in partnership wish Shortlist wanakupea a laptop on very good terms, hii uunalipia 15% deposit alafu hizo zingine unamaliza with a year, si hio ni mzuri? Ni kaa lipa mdogo mdogo tu lakini si ati they can remotely access it. Mimi already nishaasubmit application staki kisirani ya hii nko nayo. Check out and apply too isikupite my guys!🫂 CLICK LINK KU-APPLY https://meshlife.page.link/...
