
Hawa ndio #MESHachievement🏆 winners wetu wa last week.💥 ✨✨CONGRATULATIONS @[Teresia Wamenju] @[Peter Kamau] na @[Jamila Angwa] mta-get a rare opportunity ya kua featured kwa MESH #AskMeAnything section the whole week ambayo ni opportunity fiti sana ya ku-get visibility na deals kujenga #Biz zetu.
Tukae rada challenge ya this week ina-come.💥✨
0
0
0