
Hawkers in the house mikono njuu!! Sijui kama mmeona hiyo short video clip ya hawkers kutoka Nigeria 🇳🇬 who sell fake goods in Time Square, New York, they are seen packing their fake merchandise and running away when law enforcement approaches 🚨 😂😂 Kumbe hii tambia iko kila mahali si Moi avenue pekee 😂😂 Atleast we are being represented well overseas,so ukiwa pale town ukiona hawker just give him or her high five 👋 ama kama we ni hawker keep on injecting 💉 siku moja itajipa 🙏


0
0
0