Haya for me mimi kenye ningefanya ningefanya split ya biashara yangu moja ikuwe portable yaani kitu unaweza tembea ukiuuza alafu hiyo ingine ikuwe place permanent.So for me hiyo stand yangu permanent unestrategize pahali watu wanaweza taka kasnack ya kumunch and then hiyo portable naona ukuwe unafanya mostly on holidays sana sana kwa hizi event za ma youth na matters juu obvious watu watataka kitu tamu alafu pia ujaribu kutengeneza popcorn zile za flavours kitu kaa caramel ama blueberry uangalie YouTube kenye unaweza fanya alafu u jaribu kuziuza na bundles like buy 2 get one free kitu kaa hiyo alafu usiishiwe na sike hii maisha ni kujikaza



0
0
0