
Healthy eating behavior ni kitu poa Sana Kwa footballers wetu na pia sisi Kama fans wa futaa. So Leo nataka kujua how you eat and what you eat daily to ensure haugain excess wait na pia una remain healthy throughout THE time ndio u perform vile inafaa.... #MESH #TUJENGANE #SISINDIOWATU

0
0
0