
Heey Meshers, nilianzisha a small start up ya wasanii inaitwa Kejani sessions na inahusu underground artists wenye wanadai kuwa na platform ya kuperform pale space yetu,,,tuko pale dago na apa tuko na Larry Strings na mnaweza cheki IG yetu https://www.instagram.com/p... na muende apo kwa Bio kuona performance yake pale Youtube

0
0
0