
Hello - kila mara Mesh wakipost kitu huwa na screenshot then i send kwa status angu just like Pheny Achieng huwa anafanya. So kuna marafiki waliniuliza, Joshua umeandikwa kwa hii Kampuni ya Mesh ama😂😂. Nkasema ipo siku tu. Sisi ni ambassador wakubwa sana wa mesh. Na wengi wamejoin mesh ju waliona biashara yangu vile ina improve slowly slowly 💁. Am happy to be part of the family.
0
0
0