Hello..am Caroline nlikuwa na kiosk pale ngara nyayo market nlikuwa nauza vyombo vya jikoni vya upishi. Nlikuwa nauzia shule sana sana lakini covid 19 ilipoingia kenya shule zikafungwa na nikakosa wa kuuzia..tena kama miezi mbili iliyopita solo likapatwa na mkasa wa moto na duka langu likaungua lote..sikuweza kuchukua kitu chochote kwa sababu nlikuwa mbali kila kitu kilichokuwa kwa duka kilichomeka zote.
0
0
0