
Hello, am Fredrick, mesher and Businessman. I run Hotel Business, dealing in all kind of food. Location surrounded by number of Jua Kali sites kama vile, garage, scrapes, Pan sites and so. Since a number do eat from my site, they prefer to pay in evening after wamelipwa. Hapo ndio kiswahili inaingia. Now, juu lazima pia ni minimise lose as well nitry kukeep huyu client (creditors), hivi ndio mimi who do;
1; Agree into terms nipate pesa on weekly basis, incase daily basis iko ngumu. Hii inanisaidia juu hiyo wiki yote atakula na Saturday najengwa. 2: Check credit record, ikiwa mbaya tunasare bizz 3; manage creditor. Like kama anakula 100 na nacheki analemewa ku comply, namshow akule kiasi chini ya hiyo example chapo 2 supu ni chwani instead apige chapo 2 +beans 70 yenye itaniweka kudai 20. 4; Na keep records za sales as well credit...hii unihelp kukumbuka kwa haraka Hivo ndio mimi hudeal na creditors nikijaribu pia kummaintain kumbuka mteja ni mfalme.