
Hello Breanice, lines za mpesa ni type mbili ;
- Administrator line/ Super Agent. 2.SubAgent/Subdealer line.
☆Admin line unapewa free na unregister kwa safaricom branch though kuna requirements na documents unaneed .
☆You must have a biz for atleast 6months registered as a limited company with atleast 3outlets/ shops in different counties.
☆Each shop lazima ikuwe na 100k float then utahiztaji 100k for simex/Sim replacement cards.
☆Documents zinahitajika- ID,business permit,VAT,KRA, Banking Licence and Police Clearance certificate. ☆Business permit 15k ☆Police Clearance Cert 1050 ☆Rent 3k × 3=9k ☆Branding of shops 9k
Total for Adminstartor line ni kitu 450-500k
☆Sub Agent line/ Subdealer line-hii ni rahisi na faster kuget , utabuy kwa admin na 8k , na utakuwa unashare profit na admin wako.Permit utapewa na 5500 float ni 30k minimum.
☆Rent -3k
☆Branding of the shop-3k, weka LED lights zinakuwanga appealing kwa customers.
Total ya kuanza kama Sub Agent ni around 50k.
☆Make sure line unapewa na admin wako ni aggregated line ie. Your admin anafaa kuiregister kwa safaricom ndo ukuwe unatumiwa commission na safaricom. Utakuwa unapata 80% commission na admin anapewa 20%.
☆Location-be at a busy strategic location, kwa soko , kwa stage or on a busy highway. Line yako isipokuwa busy utafungiwa.
☆.Beware of conmen- uchungane na hanging transaction messages, fake money na wasee wanakuja na haraka mingi.
☆ Ukuwe na enough knowledge on how to operate an mpesa. Uendange safaricom trainings for mpesa Agents.
☆Employee wako make sure ako experienced na kurun mpesa bure ataoshwa.
☆ Kwa hiyo shop ongeza snacks, soda baridi, maji, sweets , biscuits, airtime na uhuru bags.
