Hello Dennis its a great idea and I really love that, plan ni lazima utafute a strategic position maze base wasee hawako class ya juu sana, penye income yao haiafford kubuy expensive, tafuta place Kuna mechanics hivi ama industries za juakali ziko hapo tutapata hustlers wengi. Rent there can cost you 3k. After that inafaa ukue na utensils and tools of work, kwanza jiko, charcoal, pan, sufurias, plates, mugs and the other tools at around 5k in total. Tafuta food ya kucook Sasa kama unga ya chapo, mafuta ya mboga, maziwa ya chai, tea leaves, etc at a cost of 5k in total,,msee Hadi hapo you are good to go man jipee allowance ya 5k that means ukiwa na 20k bana unaeza anzisha. Good luck msee utamake it
0
0
0