
Hello Dennis,Ntashare ideas na wewe but hapo kwa amount/capital needed ni estimated costs coz price/rent hudepend na place unaishi.
1.Legal documents;hapa the most important ni utafte PublicHealthOfficer akupee food handling licence , mostly huwa 1k , bila hii utasumbuana na kanjo sana,Then buz ikishashika itairegister
- Location.Hii ndo itadetermine sales zako, tafta place kuna watu wengi wenye wako busy ; karibu na soko, place ya mjengo, mechanics, karibu na college or university ama kwa stage.
3.Rent-vibanda rent ni from 2500-3k, ukiongeza deposit ni 6k. Na kama utafanya hadi late utahitaji tokens za 500 .
4.Seats and tables-Hustlers huwa tunatumia benches za magogo. Ongelesha any carpenter ,ni cheap . 4k itatosha.
5.Stock-Stick on one menu first ukiassess market yako.Utaongeza vitu zingine later, chapo madondo chai, kisembe na mboga. Unga ngano 2k, Sugar 1k, unga ya ugali 1k, mafta 5L 1100, makaa 1k, maharagwe tumia yellow green 2goros 1k, maziwa ya chai , majani , kahawa , nyanya , vitunguu chumvi 1k.Total ni 8,100
- Vyombo na Jiko, utaneed gas pia. nunua cups za mabati 3 dozens most people don't like plastics , plates za partitioned 30 ,spoons30 and forks30. Pan, rolling pin and table, Sufurias , flasks , container ya kunawa, packaging bags. Hizi zitakucost kitu 12k.
7.Ensure proper sanitation.Make sure usafi uko topnotch.
- Helper-pekee yako huwezirun kibanda , tafta mtu msafi mwenye anajua kuhandle customers.Mtaelewana malipo.
9.Pricing, make sure prices zako ni affordable kwa watu wa chini.
10.Cooking skills- make sure food yako ni tamu na presentable.
Total capital= Ksh. 31, 600
Congratulations and all the best.!



