Hello,Elvis Cheki hiyo sio ngumu kitu unahitaji hapo sasa ni uendee loan boast ya 100k Ununue Epson printer @40k alafu ulipe rent ya at least 3 months ununue stationary n biz ikue imeanza