
Hello everyone and happy New year,just letting somebody know that the Shujaaz comics can change someones life/u can get a great idea that will impact your life greatly,, yaani always check in .Got a guy who always reminds me, Evah,shujaaz ilinisave sana coz hii job niliget kwa agriculture is as a result ya kusoma shujaaz...alianza kwenda meetings za mayouths/za gava from there waka form groups wakawa supported na chicks ,...kwa sasa ni chairman was groups n well paid.coz kuna wale wanilima,wengine wanafuga mbuzi hizi za maziwa.....check in ,am sure it can help
0
0
0