Hello fam. Hizi challenges tuna participate kuna siku walieka 10k, 7k, 5k, 2k for top ones. What happen? Kwani ilikuwa for show tu ama? Imagine ungewin 10k unaeka stock ako vizuri sana. Surely 100 ama 50bob yaawa ☹️☹️. Kama unaunga mkono comment kitu apo chini.
0
0
0