
Hello family,Leo nataka kushare idea ya kugrow business yako bila stress... Manze nomatter how small your business is.. normalise kufanya hesabu b4 kufunga job...U can only grow wen U know penye uko...having some records makes U confidences even getting loans... N hayo 2 Kwa sasa..
0
0
0