
Hello, Finally breaking my silence to share a bit about myself. Naitwa Jo Mogere, freelancer wa SEO content writing na web copies.
Niko hapa kushare story yangu kwa mambo ya freelancing, na content creation. Kando na studies, na nahelp biz kukuza content strategy zao ili ziingize mashida (nadhani inapaswa kuwa hivyo😀)
Looking forward to connect and learn from each other.
0
0
0