
Hello great savers.? Am a fourth year in of the public university in Kenya. Am currently in 4.2 na after hapo sitapata HELB. This money have helped me alot in my kamitumba business yenye mimi huenda gikomba kuthrift nguo moja moja naa nauzia ma comrades, biashara yangu haijakuwa poa saana but inanisaidia kulipa rent, part of the fees na daily upkeep. Kindly I need your help, nataka nisave pesa atleast ma first years wakiingia nipate nikona capital nzuri juu hao ndoo ununua sanasana. My main problem ni save kwa bank ama kwa SACCO juu nataka loan nzuri ya kuchukua mitumba kwa ma comrades. Thank you all for your advice in advance.
0
0
0