
Hello guys am Komen from kabel, people call me an engineer ju nilisomea mechanical engineering na nikafanya job moja wazimu kuunda gari flani ilikuwa imeoza hadi ikarudi kwa rodi,mm najijua sipendi kufanyia mtu kazi sa nataka kufungua garage yangu shida ni capital,alafu nae kupata msee anaeza kusurpot inakuwa ngori kuruka,ningependa kusaidia pia vijanaa wenye hawana job at least wapate skills kutokana na garage yangu,hiyo ndo itakuwa furaha yangu, anyone mwenye angependa kunipea support anifikie mbio
0
0
0