
Hello guys ,hope imekuwa siku njema kwa kila msee, hustle ya kinyozi ni hustle moja safi sana na unaeza fanya vitu mingi sana nayo but kuna vitu kadhaa unafaa ku consider before uianze : position .lazima bizz yake ikuwe strategically positioned as in upate ni accessible kwa urahisi . 2. Institutions .lazima ucheki schools ,banks ,sports center hivi, Police station kama ziko karibu ndio upate customer ni wengi 3. Climate . Bado ni vizuri kuweka kinyozi area kuna jua sana ju wasee most hawaezi kaa na nywele kukiwa na jua kali . Hizo condition tatu zitakusave sana sana kwa bizz yako .
0
0
0