
Hello guys, I recently started an online grocery store, aim yangu ni kupunguza cost ya wasee wenye hawana time ya kuenda soko. Products zile most natoa direct kwa farmer upon ordering and we deliver to you wherever you prefer, especially within Embu county.

0
0
0