
Hello guys, I welcome every MESHer to this discussion, apo mtaani ushawai skia mtu akisema "Sneakers heri ninunue “fake” za mtumba kuliko fake za duka.. Fake za mtumba are more of “original” and even if not original original, they are somewhere.. Fake za duka ni fake tu outright.. " If ushawai skia hii narrative, what is your take on this?
0
0
0