Hello Guys,
Kuna iyo post ya Jana kuhusu biz ya Transcription (conversion of Audio/Mp3 to Text Format).
Ningependa kujaribu hiyo biz but sina clue nianzie wapi.
Wenye mnaijua au mmewai kuifanya naomba mnisaidie na advice.
Thanks.
0