
Hello guys kuna kitu naeza share ju life ni hard na wote tunatafta kuwa successful. Kuna youths group everyone atafte moja ajoin. This groups husaidia sana ju you get a platform where you can easily borrow funds na pia they help you save so you generate your own capital which in return zinakuja zikiwa doo poa
0
0
0